Kiwotu

Kiwotu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawotu kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiwotu imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwotu iko katika kundi la Kicelebiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search